Category Archives: Uzinduzi/Ufunguzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MAKUBALIANO YA KUENDESHA KWA PAMOJA UCHIMBAJI WA MADINI KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI YA BARRICK. IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 24, 2020

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

Rais wa kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow akizungumza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

 

Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akikabidhiana mikataba na Rais wa kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow iliyosainiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

 

Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akiwa na Rais wa kampuni ya Barrick Dkt. Mark Bristow wakionyesha Mikataba iliyosainiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

Wageni waalikwa wakipiga makofi mara baada yay a hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya makubaliano ya kuendesha kwa pamoja kapuni ya Twiga ya uchimbaji wa Madini kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ambapo kwasasa kampuni mpya ya ubia ya Twiga, Serikali itakuwa na hisa ya asilimia 16 .Halfa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 24, 2020.

 

RAIS DKT MAGUFULI AKABIDHI NYUMBA ZA MAAFISA NA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA GEREZA LA UKONGA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya  kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baada ya kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Hassan Zungu baada ya utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama ndani ya mojawapo ya nyumba  za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza.  Januari 23, 2020

 

Muonekano wa Nyumba za Maafisa na Askari Magereza zilizofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Kikundi cha Utamaduni cha JKT Kikitumbuiza wakati wa sherehe za kukabidhi Nyumba za Maafisa na Askari Magereza zilizofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo  Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam. Januari 23, 20