Category Archives: Ziara

RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI .JANUARI 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaliamiana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.Januari 14,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.Januari 14,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye Gadi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa heshma pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili (hazionekani pichani ) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia frame ya Picha ya Kiasili aliyokabidhiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza mazungumzo ya Kiserikali na Rais wa Rwanda Paul Kagame (Serikali ya Rwanda)Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

 

Rais wa Rwanda Paul Kagame akihotubia Watanzania kupitia vyombo vya habari  mara baada ya kumaliza mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia Watanzania kupitia vyombo vya habari  mara baada ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame  mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo na Rais wa Rwanda Paul Kagame  pamoja na makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan wakati wa kumsindikiza Rais paul kagame wa Rwanda mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Rwanda Paul Kagame  wakifurahia ngoma wakati wa kumsindikiza Rais paul kagame wa Rwanda mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Rwanda Paul Kagame  wakitazama ngoma wakati wa kumsindikiza Rais paul kagame wa Rwanda mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Januari 14,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye Gadi ya Jeshi ya heshma pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame  katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam baada ya kuamaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam.Januari 14,2018.

Rais wa Rwanda Paul Kagame akiagana na Dkt.Mwigulu Nchemba Waziri wa mambo ya ndani ya nchi katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam baada ya kuamaliza mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Ikulu Jijini Dar es salaam.Januari 14,2018.

Rais wa Rwanda Paul Kagame akiagana na Dkt.Modestus Kipilimba katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam baada ya kuamaliza mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Ikulu Jijini Dar es salaam.Januari 14,2018.

Rais wa Rwanda Paul Kagame akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania Saimon Siro katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam baada ya kuamaliza mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Ikulu Jijini Dar es salaam.Januari 14,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia kwa furaha wananchi waliojitokeza kumlaki  Rais wa Rwanda katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam baada ya kumsindikiza Rais wa Rwanda Paul Kagame aliyekuja nchini kwa ziara ya siku moja Jijini Dar es salaam.Januari 14,2018.

RAIS WA MSUMBIJI MHE.FILIPE NYUSI AWASILI MKOANI DODOMA TANZANIA NA KUPOKEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI DISEMBA 14,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Mhe.Msumbiji Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Mhe.Msumbiji Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi wakipita kwenye gadi ya Heshima iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi wakati wakiangalia vikundi vya ngoma za utamaduni mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi wakati vikundi vya ngoma vilipokuwa vikitumbuiza katika uwanja wa ndege wa Dodoma.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi katika Ikulu ya Dodoma kabla ya kuanza mazungumzo yao.