Category Archives: Ziara

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO KATIKA ZIWA VICTORIA CHATO MKOA WA GEITA. DESEMBA 31, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika utalii wa kuvua Samaki kwa kutumia boti ya Mv Sokwe kwenye Ziwa Victoria katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo iliyopo Chato mkoa wa Geita. Desemba 31,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Boti ya utalii ya Mv Sokwe alipokuwa katika utalii wa kuvua Samaki kwenye Ziwa Victoria katika Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo iliyopo Chato Mkoa wa Geita. Desemba 31,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya Boti ya utalii ya Mv Sokwe alipokuwa katika utalii wa kuvua Samaki kwenye Ziwa Victoria katika Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha’ Rubondo iliyopo Chato Mkoa wa Geita. Desemba 31,2019.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa amefanikiwa kuvua samaki
aina ya Sangara Ziwa Victoria wakati wa ziara ya Hifadhi ya Taifa ya
Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita. Desemba 31, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwana samaki aina ya Sangara waliowavua Ziwa Victoria walipofanya  ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita Desemba 31, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kupanda kivuko cha Mv Chato katika Ziwa Victoria akielekea Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo iliyopo Chato Mkoa wa Geita. Desemba 31,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipungia mkono boti lililobeba watalii wakati wakielekea  Hifadhi ya
Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ambako yeye pia alitembelea Desemba 31, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa na Askari wa Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo iliyopo Chato Mkoa wa Geita, alipotembelea hifadhi hiyo Desemba 31,2019.

Askari wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo iliyopo Chato Mkoani Geita wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelea na kuzungumza nao katika makao makuu ya Hifadhi hiyo Desemba 31,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa na Askari wa Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo iliyopo Chato Mkoa wa Geita, alipotembelea hifadhi hiyo Desemba 31,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi wa Shirika la hifadhiza Taifa (TANAPA) Dkt. Allan Kijazi wakiangalia mazingira ya Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo iliyopo Chato Mkoa wa Geita, alipotembelea hifadhi hiyo Desemba 31,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Janeth Magufuli pamoja na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi wa Shirika la hifadhiza Taifa (TANAPA) Dkt. Allan Kijaziwakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo iliyopo Chato Mkoa wa Geita, walipotembelea hifadhi hiyo Desemba 31,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Janeth Magufuli wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha Rubondo iliyopo Chato Mkoa wa Geita, walipotembelea hifadhi hiyo Desemba 31,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na familia ya watalii ya klutoka Ufaransa ya Bw. Arnaud de Vanssay  aliokutana nao wakati akitembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo .Desemba 31, 2019

Sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo kama inavyoonekana kutoka angani  Desemba 31, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA DE HAVILLAND DASH8 – 400 JIJINI MWANZA

Ndege mpya aina ya DE Havilland DASH8-400 ikipokelewa kwa saluti ya maji na Kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilipotua Uwanja wa Ndege wa Mwanza ikitokea Canada na kupokelewa na maelfu ya wananchi wakiomngiozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli . Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donell na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuipokea rasmi ndege mpya ya DE Havilland DASH8 400 katika uwanja wa Ndege wa Mwanza.  Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donell na na mkewe Mama Janeth Magufuli akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo walioendesha ndege ya mpya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza. Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donell na na mkewe Mama Janeth Magufuli akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo walioendesha ndege ya mpya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza. Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo walioendesha ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza.  Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa ATCL wakati wa mapokezi ya  ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza.  Desemba 14, 2019

Ndege mpya kabisa aina ya DE Havilland DASH8-400 baada ya
kuwasili kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa
Mwanza.  Desemba 14, 2019