Monthly Archives: July 2014

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA YATIMA, WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU IKULU DAR ES SALAAM

D

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakiswali swala ya Magharibi wakati wa  futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam julai 27,2014.unnamed

 

unnamed

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam julai 27,2014R

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Julai 27,2014

DD

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Julai 27,2014E

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mtoto Khaitham Jumbe Jumbe ambaye alimuandalia zawadiunnamed

Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.sss

Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Aliyeketi kushoto ni Bi. Mwajuma Hassan wa Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni.

WE

Rais Kikwete akipakua futari  Ikulu jijini Dar es salaam alipowandalia Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu  fututari Ikulu jijini Dar es salaam julai 27,2014unnamed

Rais Kikwete akipita meza moja baada ya ingine kuwasalimia yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Julai 27,2014

unnamed

Rais Kikwete akipita meza moja baada ya ingine kuwasalimia yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Julai 27,2014RR

Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakimshukuru Mama Salma Kikwete kwa futari unnamed

Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakipata picha ya pamoja na Mama Salma Kikwete baada ya  futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete

 

 

 

 

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DKT YUKIYA AMANO

 

sfewfwe

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt. Yukiya Amano Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 29,2014

DC;LKDFK

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiomuonesha Mbegu za ubuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano 

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha tunda la ubuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano mara baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es SalaamD92A2477

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mti mkubwa wa mbuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano mara baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam, mti huo upo kwenye Bustani za Ikulu