Daily Archives: July 4, 2014

RAIS KIKWETE AMLAKI MWANA WA MFALME WA JAPAN IKULU

segwrgfwref

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki  Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam July 3, 2014

WREWE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mblewa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam July 3, 2014

 

csadsad

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea  jijini Dar es salaam July 3, 2014. Wengine ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Naibu WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi, balozi wa Tanzania nchini japan Mhe Salome Sijaona na balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe Masaki Okada

 

RAIS APOKEA HATI ZA MABALOZI

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya,  Dkt Velupilai Kananathan kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam July 3, 2014

aassad

Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Dkt Velupilai Kananathan  baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam July 3, 2014

4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski  kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam July 3, 2014

wdwswfw

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski  kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam July 3, 2014

2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi wa Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe Julia Pataki kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam July 3, 2014

6

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa  Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Julia Pataki baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014