Daily Archives: August 15, 2014

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPYA 20 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 15,2014

1

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 15, 2014

 2

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Benedict Bartholomew Mwingwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 15, 2014

 3

 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Eliezer Mbuki  Feleshi   kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014

 4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe dkt John Eudes Ruhangisa kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014

5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Winfrida Beatrice Korosss kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 15, 2014

6

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Lillian Leonard Mashaka  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

7

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe David Eliadi Mrango  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

8

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Edson James Mkasimongwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

9

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Mohamed Rashid Gwae  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

 

10

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Firmin Nyanda Matogolo kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

11

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Leila Edith Mgonya  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

12  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Mhe Barke Mbaraka Aboud Sehel  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

    13

 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Awadh Mohamed  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

14

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Lugano Josiah Samson Mwandambo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

15

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Rose Ally Ebrahim kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

16

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Paul Faustin Kihwelo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

17

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Modesta Opiyo Makopolo  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 15, 2014

18

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Amour Said Khamis kuwa  Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

19

 Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt  Mary Caroline Levira kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

20   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Salma Mussa Maghimbi  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 15, 2014

 g2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  Majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya

g4

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  Majaji wa Mahakama ya Kuu Tanzania na Majaji  wapya

g5

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu pamoja na  majaji wapya 

g6

  Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi   Shaban Ally Lila wakiwa na Majaji wapya 

g7

 Rais Kikwete na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro wakiwa wa wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wanawake wapya

g8

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi   Shaban Ally Lila wakiwa katika pic ha ya jumla na Majaji wapya na wa zamani 

g9

Rais Kikwete akiongea na baadhi ya Majaji wa Mahakama Kuu baada ya shughuli ya kupiga picha. 

 

 

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 14, 2014

TAZAMA VIDEO YA HOTUBA YA MHE. RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE MKUTANO WA DIASPORA 14 AGOSTI 2014

 

 

d1

 Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah na mratibu wa Diaspora Zanzibar Bw. Hassan Hafidh alipowasili hoteli ya Serena kufungua mkutano wa siku mbili wa Diaspora leo
d2

 Rais Kikwete akimsalimia na Bw. Damien Thereaux, mkuu wa taasisi inayoshughulikia uhamiaji ya International Organisation for  Migration (IOM) 


d3

  Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah


d5

   Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongozana  na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah kuelekea ukumbini
d9

 

Rais Kikwete akiwa banda la kampuni ya HUAWEI akiangalia  aina mpya ya mawasiliani ya Radio Call zinazopiga picha za video


d12

Rais Kikwete akimpongeza Lucy Naivasha kwa kunadi akaunti ya Tanzanite kwenye mkutano wa Diaspora


d14

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa CRDB kwenye banda lao la Tanzanite
d24

Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwenye banda lao