Daily Archives: September 15, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDANI YA KUSINI MHE SALVAR KIIR IKULU JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBER 14,2014

1

 

wdwdw

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini Ikulu jiji Dar es salaam ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea Jumamosi September 14, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma