Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia Kikao cha Kazi kwa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma Oktoba 2, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia Kikao cha Kazi kwa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma Oktoba 2, 2014
Wajumbe wa mkutano wa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri zote nchini katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma wakimpokea Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa makofi alipokwenda kufungua mkutano huo Oktoba 2, 2014
Wajumbe wa mkutano wa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri zote nchini katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma wakisikiliza Hotuba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi mkutano huo Oktoba 2, 2014