Daily Archives: October 10, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA PPF MWANZA OKTOBA 10, 2014

1

Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPF Bwana Ramadhani Kija(watatu kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana William Erio(kulia) wakimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua jengo la kitega uchumi la PPF mjini Mwanza Oktoba 10,20142

Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana William Erio akitoa maelezo kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ndani ya mgahawa uliopo katika jengo jipya la kitega uchumi la PPF muda mfupi baada ya kulizindua rasmi mjini Mwanza Oktoba 10, 2014.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo.

3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na viongozi na wafanyakazi wa Shirika la PPF baada ya kuwa amezindua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika hilo katikati ya Jiji la Mwanza Oktoba 10, 2014. 1

Jengo la Kitega uchumi la mfuko wa pensheni wa PPF lililozinduliwa rasmi na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mjini Mwanza 

2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana William Erio wakiangalia madhari nzuri ya jiji la Mwanza wakiwa katika jengo jipya la kitega uchumi la mfuko wa pensheni wa PPF muda mfupi baada ya kulizindua mjini Oktoba10, 2014

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni la PPF mjini Mwanza Oktoba 10,2014 Wengine katika picha kutoka kushoto,ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana Wiliam Erio, Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Adam Malima, Mwenyekiti wa Bodi ya PPF Bwana Ramadhani Kija na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evaristi Ndikilo.

 

 

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA USAGARA – KISESA, PIA AFUNGUA DARAJA LA MABATINI MKOANI MWANZA OKTOBA 10, 2014

11jnvdvjnj

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza leo Oktoba 10, 2014.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu2ddfggg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara kilometa 16 ya  Kisesa hadi Usagara inayojengwa kwa kiwango cha lami Oktoba 10, 2014.d4

 

d2

Mkandarasi wa daraja la waenda kwa miguu huko Mabatini Mwanza kutoka kampuni ya advance engineering solution Ltd akitoa maelezo ya ujenzi huo kwa Mhe.Rais Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya Rais kulizindua rasmi daraja hilo Oktoba10, 2014darajaaaaaa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la waenda kwa miguu la Mabatini Mkoani Mwanza Oktoba 10, 2014 baada ya kulifungua rasmi wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli.d1

Muonekano wa Daraja la waenda kwa miguu liliojengwa Mabatini huko Mwanza lililozinduliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo Oktoba 10, 2014d5

Picha ya pamoja mbele ya Daraja la waenda kwa miguu liliojengwa Mabatini huko Mwanza lililozinduliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo Oktoba 10, 2014