Daily Archives: October 10, 2014

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 52 UHURU WA UGANDA HUKO KOLOLO KAMPALA OKTOBA 09, 2014

P

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Entebbe Uganda kuhudhuria sherehe za miaka 52 za uhuru wa Uganda. Oktoba 09, 2014xdscscsc

 Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria sherehe za Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo Kampala Oktoba 09, 2014