Daily Archives: October 14, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KATIKA UWANJA WA MICHEZO WA ALI HASSAN MWINYI MKOANI TABORA OKTOBA 14, 2014

6

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora Oktoba 14, 2014 wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika kitaifa Mkoani Tabora 

mwenge2

 

mwenge1 Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra pamoja na wenzake,kikosi cha Polisi wakiwa wanaenda kukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo.Oktoba 14, 2014 2

 

3rfrrg

 

4 Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo.Oktoba 14, 2014

1 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenge wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ziizofanyika Mkoani Tabora leo. 5dvdv Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mbio za mwenge mwaka wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio hizo zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora Oktoba 14, 2014

6mki

 

1mk

 

2mki

 

3mk

 

4mki

 

5mki Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra pamoja na wenzake, wakipokea vyeti kutoka kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo.Oktoba 14, 2014

mki risala

 

kabidhi risala

 

2risala kabidhi   Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akisoma na kukabidhi taarifa ya mbio ya Mwenge kitaifa kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo.Oktoba 14, 2014 11 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora  Oktoba 14, 2014

22 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati wa hotuba yake kwenye kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora  Oktoba 14, 2014