Daily Archives: November 3, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUWA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC NOV 03, 2014.

6mcncdkc

 

7

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza Nov 3, 2014 Mkoani Mwanza  ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe Nov,07 2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza  

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza Angel Magati ambaye aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na
Kupambana na Rushwa.

2
Sehemu ya wadau wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza Nov 03, 2014 ukitarajiwa Nov 07, 2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

3

Sehemu ya wadau toka nchi mbalimbali barani Afrika wameshiriki Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza Nov 03, 2014 ukitarajiwa kumalizika Nov 07 2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.

4

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, Meya wa Manispaa ya Ilemela Henry Matata, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga na Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza wakisikiliza kwa umakini yanayojiri ndani ya Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza Nov 03, 2014 ukitarajiwa kumalizika Nov 07,2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.