Daily Archives: December 8, 2014

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMWAPISHA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MHE.DAUDI FELIX NTIBENDA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBER 08,2014

1fdfsh

Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mhe.Daudi Felix Ntibenda akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Deseember 08,2014 Katikati wapili kushoto anayeshuhudia ni Katibu mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gervas Mdemu

2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa miongozo ya kazi(Standing Orders) Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mhe.Daudi Felix Ntibenda wakati wa hafla ya kuapa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Desember 08,2014  .

3

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mkuu mpya wa mkoa wa Arusha Mhe.Daudi Felix Ntibenda wakati wa hafla wa kuapa iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Desember 08, 2014.

 

FUATILIA VIDEO YA RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIMUAPISHA MKUU MPYA WA MKOA WA ARUSHA MHE.DAUDI FELIX NTIBENDA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBER 08, 2014