Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika viwanja vya chuo cha jeshi Monduli (Tanzania Military Academy)
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku Kamisheni maafisa wa jeshi la Ulinzi la wananchi (JWTZ) katika chuo cha Jeshi Monduli Mkoani Arusha Desemba 20, 2014.Jumla ya maafisa 171 walitunukiwa kamisheni wakati wa hafla hiyo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza Luteni Usu Edwin Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi baada kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini Arusha Desemba 20, 2014
Wahitimu wakila kiapo mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima
Gwaride la heshima likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na wahitimu baada ya kutunuku kamisheni jumla ya maafisa 171 wa mafunzo ya maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini Arusha Desemba 20, 2014