Monthly Archives: January 2015

JANUARY 25, 2015 RAIS KIKWETE AWASILI RIYADH KUHANI KIFO CHA MFALME WA SAUDI ARABIA, KISHA KUFANYA ZIARA YA KIKAZI UJERUMANI NA UFARANSA

sxqasqsqsqsqas

 

zxzzzzzzzxzxxz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wan Kijeshi mjini Riyadh, Saudi Arabia,  Januari 25, kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki January 22, 2015 na kuzikwa January 23, 2015 . Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ataendelea na safari yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.

 

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE ATANGAZA MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI JANUARY 24, 2015

Tazama video ya katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akitangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri January 24, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam

1qee2e2e

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na manaibu waziri aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam January 24, 2015 Wanne kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue

TAZAMA VIDEO JINSI RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYO WAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WAPYA 24 JAN 2015