Daily Archives: January 10, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GOGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM JANUARY 10, 2015

1

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick,

2

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Ndomba Mhe alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015

3

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015

4

 

5

Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015

6

Wasanii wa Kikundi cha utamaduni cha JWTZ kikitumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015

7

 

8

 

9

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015

10

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015

12

 

13

 

14

 

15

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mradi huo wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015

16

 

17

 

18

 

19

 

20

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanajeshi baada ya kuzindua  nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015

DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, HOSTS NEW YEAR SHERRY PARTY FOR HEADS OF DIPLOMATIC MISSIONS AND INTERNATIONAL ORGANISATIONS, AT THE STATE HOUSE, DAR ES SALAAM ON FRIDAY 9TH JANUARY, 2015

1

 

2

 President Dr. Jakaya Mrisho kikwete addresses heads of diplomatic missions and international organisations during a New Year Sherry Party he hosted on Friday, 9th January, 2015

3

President Dr. Jakaya Mrisho kikwete talks to  heads of diplomatic missions and international organisations during a New Year Sherry Party he hosted on Friday, 9th January, 2015

 

4

President Dr. Jakaya Mrisho kikwete in a group photo with heads of diplomatic missions and international organisations during a New Year Sherry Party he hosted on Friday, 9th January, 2015