Daily Archives: January 16, 2015

RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KUMUAPISHA RAIS MPYA WA MSUMBIJI JANUARY 15, 2015

4

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

5hkhkj

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mpya wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi muda mfupi baada ya kuapishwa jijini Maputo Msumbiji January 15, 2015

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Mfalme Letsie III  wa Lesotho(Kushoto), Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia(wapili kushoto) na kulia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.Viongozi hao walihudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi zilizofanyika jijini Maputo Msumbiji January 15, 2015

2

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zambia Kenneth Kaunda wakati wa kuapishwa kwa Rais mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi jijini Maputo Msumbiji January 15, 2015