Monthly Archives: February 2015

RAIS LUNGU WA ZAMBIA AANDAA DHIFA KWA HESHIMA YA RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE FEBRUARI 25, 2015

1 - Copy

Rais  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais wa Zambia Edgar Lungu pamoja na wake zao Mama Salma Kikwete na Mama Esther Lungu wakinyanyua glasi juu wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake ambao walifanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Zambia.

3

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini Zambia tayari amerejea jijini Dar es Salaam

unnamed

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia 

 

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI NCHINI ZAMBIA KWA ZIARA YA KISERIKALI FEBRUARY 25, 2015

1hhhe

 

2eeeer

 

3eeeet

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wawasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa na mwenyeji wa Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili

4eeeee

 

Rais Kikwete na Rais Lungu wa Zambia wakipokea heshima ya mizinga 21 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia February 25, 2015