Daily Archives: February 1, 2015

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM ZAFANA SANA MJINI SONGEA LEO FEBRUARY 01,2015

1ccm

 

2ccm

 

3ccm

 

4ccm

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Taifa  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

5ccm

unnamed

 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

6ccm

 

7ccm

 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete  wakipokea gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

9ccm

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

10ccm

Msanii Diamond akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada ya kutumbuiza katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
11ccm

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea wanachama wapya akiwa na Mbunge wa Songea Mjini Dkt Emmanuel Nchimi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea February 01, 2015  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

RAIS KIKWETE AWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA VIONGOZI JUU YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA ULIOFANYIKA ADDIS ABABA ETHIOPIA

333

Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Juu ya mabadiliko ya Tabia nchi  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasilisha ripoti ya utendaji wa kamati hiyo katika Mkutano wa Viongozi wa Umoja wa Afrika uliofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia.Mkutano huo ulimalizika January 31,2015

aasas

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 24 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa umoja wa Afrika unaofanyika katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa

2

Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi wa Afrika Juu ya mabadiliko ya Tabia nchi(The Committee of African Heads of State and governments on Climate change) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimakabidhi  nakala ya Ripoti ya utendaji mwenyekiti mpya wa kamati hiyo Rais wa Misri Abdel Fattah el Sisi wakati wa Mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa Ethiopia.Rais Kikwete alipongezwa kwa kuiwezesha kamati hiyo kupata mafanikio makubwa.

1

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn muda mfupi kabla ya kumalizika kwa mkutano wa 23 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika ulifanyika katika mji Mkuu wa Ethiopia Addis Ababa,

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika (kulia) wakikutana na marais wastaafu, Thabo Mbeki wa Afrika ya Kusini (Kushoto) na Joachim Chissano wa Msumbiji (wapili kushoto) wakati wa mkutano wa 24 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika unaofanyika Addis Ababa Ethiopia 

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa Malawi Professa Peter Mutharika (Wanne kushoto), Rais mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano, Rais mstaafu wa Afrika ya Kusini Thabo Mbeki (kulia) pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kukutana wakati wa mkutano wa wakuu wan chi wanachama wa AU unaofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia  (PICHA NA IKULU)