Daily Archives: February 9, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA KANISA LA SEVENTH DAY ADVENTIST DUNIANI DKT TED N.C. WILSON IKULU FEBRUARY 09, 2015

1

 

2wwww

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na kiongozi na  Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Ikulu  February 7,2015,  jijini Dar es salaam.
2

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo na kupata chakula cha usiku na kiongozi wa  Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani,  Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika  February 7, 2015,  Ikulu jijini Dar es salaam. 

 

RAIS  DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AENDELEA NA MAZOEZI KILA SIKU