Daily Archives: February 13, 2015

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO, AZINDUA MAABARA YA SAYANSI SHULE YA SEKONDARI YA KATA FEBRUARI 13, 2015

3fvgb

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam Februari 13,2015 .Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik

2bjjzhz

 

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la Sayansi lililokuwa likifanywa na mwanafunzi katika shule ya sekondari ya kata ya Majani ya Chai huko Kipawa jijini Dar es Salaam baada ya Rais  Kikwete kuzindua maabara za sayansi katika shule hiyo