Daily Archives: February 18, 2015

MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, AMEFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA WILAYA ILIKUBORESHA UTENDAJI KAZI.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ili kuboresha utendaji kazi. Mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishirini na saba (27) zilizotokana na:   a) Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3; b) Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa Wakuu wa Mikoa; c) Kupangiwa majukumu mengine Wakuu wa Wilaya 7; na d) Kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12.   Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amewateua Wakuu wapya wa Wilaya 27 ili kujaza nafasi hizo wazi. Aidha, Wakuu wa Wilaya sitini na nne (64) wamebadilishwa vituo vya kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki katika vituo vya sasa.

1) Wakuu wa Wilaya waliofariki dunia NA JINA WILAYA   1. Capt. (mst) James C. Yamungu Serengeti 2. Anna J. Magoha Urambo 3 Moshi M. Chang’a Kalambo

2) Wakuu wa Wilaya waliopandishwa cheo Wakuu wa Wilaya wafuatao wamepandishwa cheo kuwa Wakuu wa Mikoa NA JINA WILAYA MKOA ALIOPANGIWA   1. John Vianney Mongela Arusha  Kagera 2. Amina Juma Masenza Ilemela  Iringa 3.Dkt. Ibrahim Hamis Msengi Moshi  Katavi 4 Halima Omari Dendego Tanga Mtwara 5 Daudi Felix Ntibenda Karatu Arusha

3) Wakuu wa Wilaya waliopangiwa majukumu mengine Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa na watapangiwa kazi nyingine ni hawa wafuatao;

NA. JINA WILAYA 1 Brig. General Cosmas Kayombo Simanjiro 2 Col. Ngemela Elson Lubinga Mlele 3 Juma Solomon Madaha Ludewa 4 Mercy Emanuel Silla Mkuranga 5 Ahmed Ramadhan Kipozi Bagamoyo 6 Mrisho Gambo Korogwe 7. Elinas Anael Pallangyo Rombo 3 4) Wakuu wa Wilaya Wanaotenguliwa Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na sababu za umri, kiafya na nyinginezo na vituo vyao ni kama inavyoonekana hapa chini:

NA JINA WILAYA   1. James Kisota Ole Millya Longido 2. Elias Wawa Lali Ngorongoro 3. Alfred Ernest Msovella Kongwa 4. Dany Beatus Makanga Kasulu 5. Fatma Losindilo Kimario Kisarawe 6. Elibariki Emanuel Kingu Igunga 7. Dr. Leticia Moses Warioba Iringa 8 Evarista Njilokiro Kalalu Mufindi 9. Abihudi Msimedi Saideya Momba 10. Martha Jachi Umbula Kiteto 11 Khalid Juma Mandia Babati 12 Eliasi Goroi Boe Boe Goroi Rorya

5) Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Wilaya zao ni wafuatao;

NA. JINA JINSI WILAYA 1. Mariam Ramadhani Mtima KE Ruangwa 2. Dkt. Jasmine B. Tiisike KE Mpwapwa 3. Pololeti Mgema ME Nachingwea 4. Fadhili Nkurlu ME Misenyi 5. Felix Jackson Lyaniva ME Rorya 6. Fredrick Wilfred Mwakalebela ME Wanging’ombe 7. Zainab Rajab Mbussi KE Rungwe 8. Francis K. Mwonga ME Bahi 9. Col. Kimiang’ombe Samwel Nzoka ME Kiteto 10. Husna Rajab Msangi KE Handeni 11. Emmanuel Jumanne Uhaula ME Tandahimba 12. Mboni Mhita KE Mufindi 13. Hashim S. Mngandilwa ME Ngorongoro 14. Mariam M. Juma KE Lushoto 15. Thea Medard Ntara KE Kyela 16. Ahmad H. Nammohe ME Mbozi 17. Shaban Kissu ME Kondoa 18. Zelote Stephen ME Musoma 19. Pili Moshi KE Kwimba 20. Mahmoud A. Kambona ME Simanjiro 21. Glorius Bernard Luoga ME Tarime 22. Zainab R. Telack KE Sengerema 23. Bernard Nduta ME Masasi 24. Zuhura Mustafa Ally KE Uyui 25. Paulo Makonda ME Kinondoni 26. Mwajuma Nyiruka KE Misungwi 27. Maftah Ally Mohamed ME Serengeti

6) Wakuu wa Wilaya waliobadilishwa Vituo Wakuu wa Wilaya wafuatao wamebadilishwa vituo vya kazi kama ifuatavyo;   JINA JINSIA WILAYA ATOKAYO AENDAYO  

1. Nyerembe Deusdedit Munasa ME Arumeru  Mbeya 2 Jordan Mungire Obadia Rugimbana ME Kinondoni Morogoro 3 Fatma Salum Ally KE Chamwino Mtwara 4 Lephy Benjamini Gembe ME Dodoma Mjini Kilombero 5 Christopher Ryoba Kangoye ME Mpwapwa Arusha 6 Omar Shaban Kwaang’ ME Kondoa Karatu 7 Francis Isack Mtinga ME Chemba Muleba 8 Elizabeth Chalamila Mkwasa KE Bahi Dodoma 9 Agnes Elias Hokororo (Mb) KE Ruangwa Namtumbo 10 Regina Reginald Chonjo KE Nachingwea Pangani 11 Husna Mwilima KE Mbogwe Arumeru 12 Gerald John Guninita ME Kilolo Kasulu 13 Bi Zipporah Lyon Pangani KE Bukoba Igunga 14 Col. Issa Suleimani Njiku ME Missenyi Mlele 16 Bw. Richard Mbeho ME Biharamulo Momba 17 Bw. Lembris Marangushi Kipuyo ME Muleba Rombo 18 Ramadhani Athuman Maneno ME Kigoma Chemba 19 Venance Methusalah Mwamoto ME Kibondo Kaliua 20 Gishuli Mbegesi Charles ME Buhigwe Ikungi 21 Novatus Makunga ME Hai Moshi 21 Anatory Kisazi Choya ME Mbulu Ludewa 22 Christine Solomoni Mndeme KE Hanang’ Ulanga 23 Jackson William Musome ME Musoma Bukoba 24 John Benedict Henjewele ME Tarime Kilosa 25 Dkt. Norman Adamson Sigalla ME Mbeya Songea 26 Dr. Michael Yunia Kadeghe ME Mbozi Mbulu 27 Crispin Theobald Meela ME Rungwe Babati 28 Magreth Ester Malenga KE Kyela Nyasa 29 Said Ali Amanzi ME Morogoro Singida 30 Antony John Mtaka ME Mvomero Hai 31 Elias Choro John Tarimo ME Kilosa Biharamulo 32 Francis Cryspin Miti ME Ulanga Hanang’ 33 Hassan Elias Masala ME Kilombero Kibondo 34 Angelina Lubalo Mabula KE Butiama Iringa 35 Farida Salum Mgomi KE Masasi Chamwino 36 Wilman Kapenjama Ndile ME Mtwara Kalambo 37 Ponsian Damiano Nyami ME Tandahimba Bariadi 38 Mariam Sefu Lugaila KE Misungwi Mbogwe 39 Mary Tesha Onesmo KE Ukerewe Buhigwe 40 Karen Kemilembe Yunus KE Sengerema Magu 41 Josephine Rabby Matiro KE Makete Shinyanga 42 Joseph Joseph Mkirikiti ME Songea Ukerewe 43 Abdula Suleiman Lutavi ME Namtumbo Tanga 44 Ernest Ng’wenda Kahindi ME Nyasa Longido 45 Anna Rose Ndayishima Nyamubi KE Shinyanga Butiama 46 Rosemary Kashindi Kirigini (Mb) KE Meatu Maswa 47 Abdallah Ali Kihato ME Maswa Mkuranga 48 Erasto Yohana Sima ME Bariadi Meatu 49 Queen Mwanshinga Mulozi KE Singida Urambo 50 Yahya Esmail Nawanda ME Iramba Lindi 51 Manju Salum Msambya ME Ikungi Ilemela 52 Saveli Mangasane Maketta ME Kaliua Kigoma 53 Bituni Abdulrahman Msangi KE Nzega Kongwa 54 Lucy Thomas Mayenga KE Uyui Iramba 55 Majid Hemed Mwanga ME Lushoto Bagamoyo 56 Muhingo Rweyemamu ME Handeni Makete 57 Hafsa Mahinya Mtasiwa KE Pangani Korogwe 58 Dr. Nasoro Ali Hamidi ME Lindi Mafia 59 Festo Shemu Kiswaga ME Nanyumbu Mvomero 60 Sauda Salum Mtondoo KE Mafia Nanyumbu 61 Seleman Mzee Seleman ME Kwimba Kilolo 62 Esterina Julio Kilasi KE Wanging’ombe Muheza 63 Subira Hamis Mgalu KE Muheza Kisarawe 64 Jacqueline Jonathan Liana KE Magu Nzega

7) Wakuu wa Wilaya wanaobaki katika vituo vyao vya sasa Wakuu wa Wilaya wafuatao wanaendelea kubaki katika vituo vyao vya sasa; NA JINA JINSIA WILAYA  

1 Jowika Wilson Kasunga ME Monduli 2 Raymond Hieronimi Mushi ME Ilala 3 Sophia Edward Mjema KE Temeke 4 Bw. Amani Kiungadua Mwenegoha ME Bukombe 5 Bw. Ibrahim Wankanga Marwa ME Nyang’wale 6 Bw. Rodrick Lazaro Mpogolo ME Chato 7 Bw. Manzie Omar Mangochie ME Geita 8 Bi. Darry Ibrahim Rwegasira KE Karagwe 9 Lt. Col. Benedict Kulikila Kitenga ME Kyerwa 10 Constantine John Kanyasu ME Ngara 11 Paza Tusamale Mwamulima ME Mpanda 12 Peter Toima Kiroya ME Kakonko 13 Hadija Rashid Nyembo KE Uvinza 14 Dkt. Charles O. Mlingwa ME Siha 15 Shaibu Issa Ndemanga ME Mwanga 16 Herman Clement Kapufi ME Same 17 Ephraim Mfingi Mbaga ME Liwale 18 Abdallah Hamis Ulega ME Kilwa 19 Joshua Chacha Mirumbe ME Bunda 20 Deodatus Lucas Kinawiro ME Chunya 21 Rosemary Staki Senyamule KE Ileje 22 Gulamhusein Kifu Shaban ME Mbarali 23 Christopher Edward Magala ME Newala 24 Baraka Mbike Konisaga ME Nyamagana 25 Sarah Philip Dumba KE Njombe 26 Hanifa Mahmoud Karamagi KE Gairo 27 Halima Meza Kihemba KE Kibaha 28 Nurdin Babu ME Rufiji 29 Mathew Sarja Sedoyeka ME Sumbawanga 30 Idd Hassan Kimanta ME Nkasi 31 Chande Bakari Nalicho ME Tunduru 32 Bibi Senyi Simon Ngaga KE Mbinga 33 Wilson Elisha Nkambaku ME Kishapu 34 Benson Mwailugula Mpesya ME Kahama 35 Paul Chrisant Mzindakaya ME Busega 36 Georgina Elias Bundala KE Itilima 37 Fatuma Hassan Toufiq KE Manyoni 38 Lt. Edward Ole Lenga ME Mkalama 39 Hanifa Mohamed Selengu KE Sikonge 40 Suleman Omar Kumchaya ME Tabora 41 Mboni Mwanahamis Mgaza KE Mkinga 42 Seleman Salum Liwowa ME Kilindi

Mabadiliko haya yameanza tarehe 18.02.2015 na ninawatakia wote utendaji kazi mahiri. Mizengo K. P. Pinda 18.02.2015 WAZIRI MKUU

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI KUTOKA MALAWI,KUWAIT.AFRIKA YA KUSINI NA KENYA FEBRUARY 18,2015

1wwwwwwfcgh

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakiklisha nchi zao hapa Tanzania.Mabalozi walioziwasiliasha hati zao leo ikulu ni pamoja na Hawa Ndilowe- Malawi,Jasem Ibrahim Al- Najem- Kuwait, Thamsanqa Dennis Mseleku-Afrika ya Kusini na Chirau Ali Mwakwere- Kenya.Pichani Mabalozi hao wakiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. 

3

 Balozi Ndilowe akiwa na Rais Kikwete akifanya naye mazungumzo baada ya kuwasilisha hati za utambulisho.

4SDDFCFV

 

5

Balozi mpya wa Kuwaiti nchini Tanzania Mhe.Jasem Ibrahim Al-Najem akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam February 18, 2015

6y

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania akiwa katika picha na Rais Dkt.Jakaya Kikwete na wakiwa katika mazungumzo baada ya kuwasilisha hati za utambulisho.

7EVDFFG

Balozi Mpya wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Mhe.Thamsanqa Dennis Mseleku akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam February 18, 2015. Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.

8

 

9

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na balozi mpya wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Thamsanqa Dennis Mseleku baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho na kufanya naye mazungumzo

10

 

11SSSSSSD

Balozi Mpya wa Kenya nchini Tanzania Mhe.Chirau Ali Mwakwere akiwasilisha Kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam February 18, 2015. Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.

12

 

13

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na balozi mpya wa Kenya nchini Tanzania Chirau Ali Mwakwere wakikumbatiana na kwa furaha muda mfupi baada ya balozi huyo kuwasilisha hati zake za utambulisho ikulu jijini Dar es Salaam