Daily Archives: February 20, 2015

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI NAIROBI KENYA KUHUDHURIA MKUTANO WA 16 WA WAKUU WA NCHI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI NA PIA AKABIDHIWA UENYEKITI WA JUMUIYA HIYO

1

Rais Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea bendera ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uenyekiti wa  EAC  kwenye  mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika  20/2/2015 Nairobi Kenya

2

Kutoka kushoto ni mgeni mwalikwa,Rais wa Sudani Kusini,Salva Kiir, Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, Rais Dkt. Jakaya Kikwete (Tanzania), Rais Uhuru Kenyatta (Kenya) Rais Yoweri Museveni (Uganda) Rais Paul Kagame (Rwanda) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dk Richard Sezibera wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano kwenye  mkutano wa kawaida wa 16 waWakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika .20/2/2015

3

Rais Jakaya Kikwete,Naibu Rais wa Kenya,William Rutto na maafisa wengine wakiwa kwenye Jengo la mikutano wa kimataifa la Kenyatta International Convention Center(KICC)Nairobi,Kenya wakati wa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania katika mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika 20/2/2015

1 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi jijini Nairobi kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kuhudhuria mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015

3

 

4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipigiwa wimbo wa taifa wa Tanzania baada ya kuwasili  kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kuhudhuria mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015. Kulia ni Naibu Rais wa kenya Mhe. William Samoei Ruto

5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wakiwa meza kuu kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta wakati wa ufunguzi wa  mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 20156

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza  mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015

7

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya baada ya kupokea kijiti cha kuongoza jumuiya hiyo wakati wa   mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 20158

Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa Jumuiya hiyo Dkt Harrison Mwakyembe akiwasilisha ripoti ya mwaka ya baraza hilo   mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 201510

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa Jumuiya baada ya kukabidhiwa  ripoti ya mwaka ya baraza hilo   mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki
February 20, 2015

11

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda aliyekwemnda kumuomba udhuru ili kuondoka mapema kabla ya kumalizika kwa  mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 201512

Jaji Geoffrey W. M. Kiryabwire akiongozwa kuelekea jukwaani kula kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015
13

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akimpongeza Jaji Audace Ngiye kutoka Burundi baada ya kula  kiapo  kuwa Jaji wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015

14

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akimpongeza Mhe Liberag Mpfumukeko kutoka Burundi baada ya kuteuliwa kuwa Nibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mshariki  wakati wa mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 201516

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akipungia mkono wajumbe walioko Kampala baada ya Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua mfumo wa kisasa wa mawasiliano ya moja kwa moja kwa njia ya video uitwao Telepresence katika  mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015

17

 Ujumbe wa Tanzania katika  mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015, Kutoka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Mhe Bernard Membe, WAZIRI wa nchi ofisi ya rais anayeshughulikian utawala bora  Mhe. George Huruma Mkuchika, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe  George Mcheche Masaju, Waziri wa Fedha, Mhe, Saada Mkuya Salum na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Lazaro Nyalandu
18

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha   mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 201519

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa kenya na Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan ya Kusini baada ya  mkutano wa 16 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki February 20, 2015