Daily Archives: February 23, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM

unnamed-5

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana tayari kwa  kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam

2wwgwwg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana Hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam

 unnamed-4   

 

unnamed-3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam

1wwwww

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza  Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam

unnamed

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam