Monthly Archives: March 2015

RAIS DKT. JAKAYA MRISHOKIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI KAMATI YA AMANI MKOA WA DAR ES SALAAM MACHI 28,2015

1nfidifjjdfk

Rais Dkt.Jakaya mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Viongozi wa Dini wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam Machi 28, 2015

1

Mkuatano huo  wa Viongozi wa Dini wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam Machi 28, 2015 ulianza kwa Dua

2lvmbmlbm

 

3 (2)

 

D92A2844

Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam Machi 28,2015

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA RIPOTI YA CAG IKULU DAR ES SALAAM MACHI 27,2015

unnamed

 

2gdhedhdh

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad akimkabidhidhi Ripoti yake Rais  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam machi 27,2015

3jgghh

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikifungua Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad (kushoto) Ikulu jijjini Dar es Salaam Machi 27, 2015 Kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

unnamed-4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa waandamizi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuju wa Hesabu za Serikali mufa mfupi kabla ya mkuu wa taasisi hiyo Profesa Musa Assad (Watatu kushoto) kuiwasilisha Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watano Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue