Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
Rais Kikwete akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
Rais Kikwete akipokea maandamano ya kinamama katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
maandamano ya kinamama katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo

Rais Kikwete akiongea na mtoto Miriam Edward mwenye ulemavu wa macho ambaye alitoa burudani katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo pembeni ni mama mzazi wa Miriam
Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba akimkabidhi Rais Kikwete tuzo maalum ya Wanawake kwa mchango wake mkubwa wa kujali maslahi ya kinamama katika jamii katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mabanda ya maonesho uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto wakati akikagua mabanda ya maonesho uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 katika kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo