Daily Archives: March 26, 2015

RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA KANDA YA KATI JIJINI DAR ES SALAAM MACHI 26, 2015

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

3m,djdhdh

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Pierre Nkurunzinza kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

a7

 

a8

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

a9

Rais Paul Kagame wa Rwanda akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015. 

5

 

a18

 

a13

 

a12

 

 

4

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

a14

 

a15

Sehemu ya washiriki wa Mkutano huo.

7

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya pamoja na mawaziri wa Tanzania, kenya, DRC na Uganda kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

6jdgdghdh 

 8

 

9 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakisiliza maelezo toka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa moja  katika bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.

10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwasili  bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.

a29

 

a28

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda akizungumza na wafanyakazi wa bandara na wadau wa bandari ya Dar es salaam walipotembelea machi 26, 2015

11

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo walipotembelea  bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.

13

 

a32

Rais Paul Kagame wa Rwanda  akipokea zawadinya picha kutoka uongozi wa bandari

a33

 

a34

 

12 Rais Paul Kagame wa Rwanda akipeperusha bendera kuashiria kuzinduliwa kwa safari za treni za mizigo kuelekea Rwanda katika stesheni ya reli ya Dar es salaam akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete leo Machi 26, 2015

a36

 

a37