Daily Archives: April 1, 2015

RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU MACHI 30,2015

2jedehuwehu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano  unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu  (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Machi, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani. 

unnamed-3

 

unnamed-4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiondoka baada ya yeye kuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano  unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu  (Achieving sustainable development through employment creation and decent work) tarehe 30 Machi, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.