Daily Archives: April 9, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA LISHE DAR ES SALAAM APRIL 9, 2015

1ksgshshsd

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaoshiriki mkutano unaohiusu lishe bora unaoratibiwa na Sun Lead Group’s Visioning Sub Group(VSG) uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam April 9, 2015 baada ya kuufungua

unnamed

Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungua mkutano unaohusu lishe uliowakutanisha wataalamu wa lishe kutoka mataifa mbalimbali uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam