Daily Archives: May 2, 2015

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI – MWANZA

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka kwa Gratian Mukoba, Rais wa Shirikisho laVyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) wakati wa kilele cha Mei Mosi Uwanja wa CCM Kirumbna jijini Mwanza  Mei 1, 2015.  

unnamed

 

4

 Rais Jakaya Kikwete akitunukiwa cheti na Rais wa TUCTA Mhe. Gratian Mukoba wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.

 2CHB

 

 

unnamed

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza  sherehe za Mei Mosi ziizofanyika kitaifa jijini Mwanza Mei 01,2015 

2

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mfano wa hundu mfanyakazi bora wa LAPF Bi Perpetua Paul wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.

 

1

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi mfanyakazi bora wa TANESCO Bw. Clement Mwakalosi wakati wa kilele cha sherehe za MEI MOSI uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Ijumaa.

 

 

 

 

RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI NNE APRIL 30, 2015 IKULU JIJINI DAR ES SALAAAM