Daily Archives: May 14, 2015

EAC SUMMIT DISCUSSES THE SITUATION IN BURUNDI 13TH MAY 2015

D92A6952

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Jumhiya ya nchi za Afrika Mashariki akitoa taarifa ya kikao wa dharula cha kujadili hali ya amani katika nchini Burundi Mei 13,2015

D92A6316

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu Rais wa Kenya kwenye kikao wa dharula cha kujadili hali ya amani katika nchini Burundi Mei 13,2015

D92A6475

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu Rais wa Uganda kwenye kikao wa dharula cha kujadili hali ya amani katika nchini Burundi Mei 13,2015

D92A6424

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na rais Paul Kagame wa Rwanda Muda mfupi kabla ya kuanza kikao wa dharula cha kujadili hali ya amani katika nchini Burundi Mei 13,2015