Daily Archives: May 19, 2015

RAIS WA MSUMBIJI FELIPE JACINTO NYUSI ATEMBELEA OFISI KUU YA CCM DODOMA MEI,19,2015

1

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kiongozi wa FRELIMO Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji kwenye Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma Mei 19,2015

1

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwa Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi wakati Rais huyo wa Msumbiji alipowasili katika makao makuu ya CCM mjini Dodoma Mei 19,2015 na kuzungumza na viongozi waandamizi , Kushoto ni Naibu katibu Mkuu wa CCM Bwana Mwigulu Nchemba.

2 Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi pamoja na mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwasalimia baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumlaki wakati alipotembelea makao makuu ya CCM mjini Dodoma Mei 19,20153

Vijana wa CCM wakimvika skafu Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi Mei 19,2015 baada ya kuwasili katika makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

1

Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akiangalia picha za wajumbe wa kamati kuu ya kwanza ya CCM mwaka 1977 baada kuunganishwa kwa vyama vya TANU na Afro-Shirazi party kuunda Chama Cha Mapinduzi.

2

 

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha mgeni wake Rais Felipe Jacinto Nyusi kwa viongozi waandamizi wa CCM katika ukumbi wa White House uliopo makao makuu ya Chama mjini Dodoma 

2 Rais Felipe Jacinto Nyusi akisalimiana na  viongozi waandamizi wa CCM katika ukumbi wa White House uliopo makao makuu ya Chama mjini Dodoma Mei, 19.2015

RAIS WA MSUMBIJI FELIPE JACINTO NYUSI ALIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DODOMA MEI 19, 2015

2

 

3

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Anna Makinda akimkaribisha Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma ambapo Rais huyo alilihutubia Bunge hilo. 

 5

Rais Wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akipokea heshima muda mfupi baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma akisindikizwa na mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.

1

Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akikagua gwaride maalum lililoandaliwa na jeshi la polisi katika viwanja vya bunge mjini Dodoma 

6

Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo huku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Spika Mhe.Anna Makinda wakishuhudia.

7

Rais Wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo mjini Dodoma huku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Spika wa Bunge hilo Mh.Anna Makinda wakisikiliza.

8

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi,Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na viongozi waandamizi katika serikali ya Msumbiji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Rais wa Msumbiji kulihutubia Bunge lao mjini Dodoma