Daily Archives: May 25, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU DODOMA MEI 25,2015

unnamed-1

Mwenyekiti wa CCM Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu nakala za kanuni za Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu kuzindua rasmi wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani mjiini Dodoma Mei 25,2015 Kulia ni katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,watatu kulia ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula na kushoto ni mlezi wa shirikisho hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknologia Ndugu January Makamba.

unnamed-2

Rais Kikwete akisalimiana na baadahi ya wanafunzi baada ya kufungua mkutano

unnamed

Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu mjini Dodoma.