Daily Archives: May 28, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMWAPISHA KATIBU MKUU MAMBO YA NJE NA NAIBU WAKE PAMOJA NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA

1,ncnv

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  amewaapisha Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa na naibu wake pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Saudi Arabia katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Pichani Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Balozi liberate Mulamula akila kiapo Mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na kukabidhiwa kanuni na miongozo ya kazi. 

3nvbv

 

4

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Balozi Hassan Simba Yahya akila kiapo Mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na kukabidhiwa kanuni na miongozo ya kazi.

5ncnncnc

Balozi mpya wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mh.Hemed Iddi Mgaza akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na kukabidhiwa miongozo ya kazi

TAZAMA VIDEO