Rais Kikwete akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda
Rais Kikwete na viongozi wengine wakisimama kwa heshima wakati mwili ukiwasili
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya marehemu
Rais Kikwete akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda
Rais Kikwete na viongozi wengine wakisimama kwa heshima wakati mwili ukiwasili
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya marehemu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakiwa katika picha ya pamoja na Makamishna Wakuu wa Magereza Wastaafu. Kutoka kulia ni Mhe. Augustine Nanyaro, Mhe. Nicas Pius Banzi, Kamishna Generali Mkuu wa sasa John Minja, Rais Kikwete, Alhaj Jumanne Mangara, Mzee John Mwanguku, na Kamishna wa Huduma za Urekebishaji Mstaafu Mama Aziza Mursali sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete akisalimiana na maafisa wanaoshughulikia kitengo cha SACCOS cha Magereza kwenye banda la maonesho ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakifurahia samani katika banda la maonesho ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakiwa na Wakuu wa Jeshi la Magereza wa nchi za SADC na Kenya waliohudhuria sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakiwa na wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete akifunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe akipokea ithabati rasmi kwa ajili ya Chuo cha Mafunzo cha Ukonga kutoka kwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Kikwete akimkabidhi Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja ithabati rasmi kwa ajili ya Chuo cha Mafunzo cha Ukonga iliyotolewa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Askari Magereza wa enzi za Mkoloni wakionesha ukakamavu wao mbele ya Rais Kikwete wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Megereza Amina Juma Lidenge kwa niaba ya wahitimu wenzake 104 wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku cheto Mwanafunzi Alyefanya Vizuri Katika Masomo ya darasani Inspekta Saidi Jacob Seni wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la wahitimu 104 wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015
SP Paul Nyanda Gwajima Mrakimu wa Magereza na mkufunzi wa chuo cha maafisa wa jeshi la magereza ukonga akiwa amesimama kwa ukakamavu kwa kutoa heshima ya kijeshi wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo hicho juni 27,2015
Maafisa wa Jeshi la Magereza wa nchi za SADC na Kenya waliohudhuria sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015 wakifuatilia kwa karibu matukio wakati wa sherehe hizo
Maafisa wa Jeshi la Magereza wakimsubiri Mgeni rasmi ambaye ni Amir Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015