Daily Archives: June 2, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ZIARANI FINLAND JUNI 02, 2015

 

 

unnamed

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo

unnamed-1

 

unnamed-2

 

unnamed-3

Rais Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland.

unnamed-4

Rais jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Finland ya basketball

unnamed-5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi ya mchoro wa Tingatinga kwa viongozi wa kampuni ya KONE

unnamed-6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akitembelea  Bandari ya Helsinki

unnamed-8

 

unnamed-9

Rais Kikwete akipata mapokezi rasmi kwa mwenyeji wake Rais wa Finland Mhe Sauli Niinisto