Daily Archives: June 8, 2015

ZIARA YA RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE NCHINI UHOLANZI JUNI 08, 2015

1

 

2

 

3

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi,  Juni 8, 2015   4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson  Masilingi baada ya kuwasili The Hague Juni 8, 2015    5

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi Mhe. Bert Koenders  jijini The Hague   Juni 8, 2015   6gfdhdh

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katikati wakati Waziri wa Zanzibar Mhe Ramadhani akigonganisha glasi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi Mhe. Mark Rutte jijini The Hague   Juni 8, 2015.  Kushoto ni  Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson  Masilingi 

8

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mfalme Willem Alexander katika kasri la Kifalme la Noordeinde jijini The Hague   Juni 8, 2015.  

9

 

10 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC Jaji Silvia Alejandra Fernandes de Gurmendi alipotembelea makao makuu ya mahakama hiyo jijini The Hague  Juni 8, 2015 

11

 

12

 

14

 

15

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa  na Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC Jaji Silvia Alejandra Fernandes de Gurmendi alipotembelea makao makuu ya mahakama hiyo jijini The Hague  Juni 8, 2015. 16

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kuongea na Mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Uholanzi  jijini The Hague   Juni 8, 2015.   

17

picha ya pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Uholanzi  jijini The Hague   Juni 8, 2015.   

18 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Uholanzi Mhe Mark Rutte  jijini The Hague  Juni 8, 2015.