Daily Archives: June 15, 2015

RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO JUNI 14, 2015

1

Waziri wa Nchi (OR) ikulu na utawala bora Dr. Mwinyihaji Makame Mwadini wa Zanzibar akisalimiana na katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena Tax wakati wakisubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete ahutubie na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.   3

 

4

Shehemu ya wajumbe wa  Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika uliofunguliwa Jumapili June 14, 2015  kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.      5 Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali, Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Afrika katika Sudan ya Kusini akiwa kwenye kwenye Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika uliofunguliwa Jumapili June 14, 2015  kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.   

6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.  

7

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.  

8

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Rais wa Visiwa vya Comoro baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.     

9ghhh

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa AU Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe na rais Yoweri Museveni wa Uganda baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.  

10hhgg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wajumbe mbalimbali baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini 11hvd 

 

12

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Somalia  Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud, baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.   

13bmmj

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Misri Mhe Ibrahim Mahlab baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.  

14

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mfalme Mswati wa Swaziland baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.   15 

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mjumbe maalumu wa Marekani katika Maziwa Makuu  baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini. 

16

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mfalme Mswati wa Swaziland baada ya kuhutubia  na  kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.