Daily Archives: June 24, 2015

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO JUNI 24, 2015

unnamed-1

 

unnamed-2

 

unnamed

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015

unnamed-3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoma kwa Profesa Nerey Mvungi wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam juu ya Ubunifu wake wa kutengeneza mfumo wa kidigitali wa kusaidia kupambana na ajali barabarani  kabla hajafungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015

unnamed-4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoma kwa kijana Godfrey Magila wa Magilatech Company Ltd.  juu ya Ubunifu wake wa kutengeneza mfumo wa teknolojia ya mawasiliano rahisi  kabla hajafungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015

 

 

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KAIMU MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIRY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNI 24, 2015

unnamed

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam juni 24,2015

unnamed-1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila  Ikulu jijini Dar es salaam  juni 24,2015

unnamed-2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam

unnamed-3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picjha ya kumbukumbu  na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu jijini Dar es salaam