Daily Archives: June 27, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE NA AMRI JESHI MKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA AFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI WA NGAZI YA JUU KWA MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM JUNI 27, 2015

1

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja  wakiwa katika picha ya pamoja na Makamishna Wakuu wa Magereza Wastaafu. Kutoka kulia ni Mhe. Augustine Nanyaro, Mhe. Nicas Pius Banzi, Kamishna Generali Mkuu wa sasa John Minja, Rais Kikwete, Alhaj Jumanne Mangara, Mzee John Mwanguku, na Kamishna wa Huduma za Urekebishaji Mstaafu Mama Aziza Mursali sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015

2

Rais Jakaya Mrisho kikwete akisalimiana na maafisa wanaoshughulikia kitengo cha SACCOS cha Magereza kwenye banda la maonesho ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015

3

Rais Jakaya Mrisho kikwete na  Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja  wakifurahia samani katika  banda la maonesho ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam  Juni 27, 2015

4

Rais Jakaya Mrisho kikwete  na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja  wakiwa na Wakuu wa Jeshi la Magereza wa nchi za SADC na Kenya waliohudhuria  sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam  Juni 27, 2015

5

 

6

Rais Jakaya Mrisho kikwete na  Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja  wakiwa na wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015

7bjb

Rais Jakaya Mrisho kikwete akifunga  Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015

8

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe akipokea ithabati rasmi kwa ajili ya Chuo cha Mafunzo cha Ukonga kutoka kwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam  Juni 27, 2015

9

Rais Kikwete akimkabidhi Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja  ithabati rasmi kwa ajili ya Chuo cha Mafunzo cha Ukonga iliyotolewa na  Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam  Juni 27, 2015

10

Askari Magereza wa enzi za Mkoloni wakionesha ukakamavu wao mbele ya Rais Kikwete  wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam  Juni 27, 2015

11hchfh

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Megereza  Amina Juma Lidenge kwa niaba ya wahitimu wenzake 104  wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015

12kbbk

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku cheto Mwanafunzi Alyefanya Vizuri Katika Masomo ya darasani Inspekta Saidi Jacob Seni  wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015

13

 

14

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la wahitimu  104  wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam Juni 27, 2015

1

SP Paul Nyanda Gwajima  Mrakimu wa Magereza na mkufunzi wa chuo cha maafisa wa jeshi la magereza ukonga akiwa amesimama kwa ukakamavu kwa kutoa heshima ya kijeshi wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo hicho juni 27,2015

2

 

3

 

4

Maafisa wa Jeshi la Magereza wa nchi za SADC na Kenya waliohudhuria  sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam  Juni 27, 2015 wakifuatilia kwa karibu matukio wakati wa sherehe hizo

5

Maafisa wa Jeshi la Magereza wakimsubiri Mgeni rasmi ambaye ni Amir Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam  Juni 27, 2015

 

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI JUNI 26,2015

p1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam  

p2

Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla akihutubia kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p3

Mabalozi na viongozi mbalimbali  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p4

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiongea  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam   p5

Sehemu ya maaskofu  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam p6

Rais Kikwete akisoma hotuba yake  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam   

p7

Rais Kikwete akigonganisha glasi na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na Muadhama kardinali Polycarp Pengo kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani  jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p8

Rais Kikwete akigonganisha glasi na Kiongozi wa Mabalozi nchini na Balozi wa DRC Mhe. Asumani Mpango pamoja na Mhe Membe na Rais wa baraza la Maskofo wa Kikatoliki Tanzania (TEC) Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa  kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p9

Meza Kuu ikishereherekea miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki duniani

p11

Rais Kikwete akiongea   na Mabalozi  na viongozi wengine kwenye  sherehe zakuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p12

Waziri Membe akimtambulisha Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwa Kaimu Mufti wa Tanzania Sheikh abubakar Zubeiry aliyealikwa kwenye sherehe hizo

p13

Rais Kikwete, Waziri Membe,  Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na  Kaimu Mufti wa Tanzania Sheikhabubakar Zubeiry kwenye sherehe hizo 

p14

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam   p16

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi la kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p17

 

p18

Rais Kikwete akiagana na watawa  baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p19

 

p20

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

p21

 

p22

 

p23

 

p24

 

p25

 

p26

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongoziwa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam  p27

Rais Kikwete akisalimiana  na Mabalozi  na viongozi wengine kwenye  sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam   p28 

 

p29

 

p30

 

p32

 

p33

 

p34

 

p35

 

p36

Rais Kikwete akisalimiana  na Mabalozi  na viongozi wengine kwenye  sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa  kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam