Daily Archives: July 4, 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO KUJADILI ILANI YA CCM 2015-2020 DODOMA JULAI 04, 2015

2

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Rajab Luhwavi akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo aliendesha kikao maalum cha kamati kuu ya CCM kilichojadili na kupitisha ilani ya CCM 2015-2020.  

1

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dr. Mohamed Ali Shein(kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula,(kulia) na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana(Watatu kushoto) wakati wa ufunguzi wa kukao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM kilichoijadili ili kuipitisha ilani ya CCM 2015-2020 katika ukumbi wa White House uliopo makao makuu ya CCM mjini Dodoma julai 04,2015 

5

Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ya CCM akiwemo Makamu wa Wapili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Sefu Ally Iddi,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Anna Makinda na wajumbe wengine waliojadili ili kuipitisha ilani ya CCM 2015-2020 leo katika ukumbi wa White House uliopo makao makuu ya CCM mjini Dodoma 

BALOZI WA ARGENTINA NA QATAR WAWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO IKULU JIJINI DAR ES SALAMA JULAI 03,2015

2VBSCS

 

unnamed

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Argentina nchini Tanzania Mhe.Bibianna Lucila Johnes ikulu jijini Dar es Salaam Julai 03,2015 na kisha kufanya mazungumzo mafupi na balozi huyo

2

Balozi mpya wa Qatar katika Tanzania, Mheshimiwa Abdallah Jassim Mohamed Al-Medady katikati akipokelewa Ikulu jijini Dar es salaam

1n  sc d

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Julai 4, 2015, amepokea Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Qatar katika Tanzania, Mheshimiwa Abdallah Jassim Mohamed Al-Medady.Ikulu jijini Dar es salaam

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Julai 4, 2015, akimpokea  Balozi mpya wa Qatar katika Tanzania, Mheshimiwa Abdallah Jassim Mohamed Al-Medady.Ikulu jijini Dar es salaam