Daily Archives: July 12, 2015

MHE.JOHN POMBE MAGUFULI ACHAGULIWA KWA KISHINDO KWA KURA 2104 = 87.1% KATI YA 2422 KUWA MGOMBEA URAIS WA CCM KATIKA UCHAGUZI MKUU UTAKAOFANYIKA OKTOBA, 2015

ANN

Mhe. Sipika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitangaza matokeo ya mgombea Urais wa CCM atakaye peperusha Bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba , 2015

1assnd

 

D92A1275

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mhe.John Pombe magufuli baada ya kuchaguliwa na chama chake kuwa mgombea Urais wa CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba , 2015

jkuhnmmc

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiinua mikono juu kwa furaha baada ya kutangazwa kwa Mhe. John Pombe Magufuli kuwa  mgombea Urais wa CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2015

D92A1323

 

D92A1321

 

D92A1315

 

D92A1307 Viongozi mbalimbali mashuhuri wa chama cha CCM akimpongeza Mhe.John Pombe magufuli kwa kuchaguliwa na chama chake kuwa mgombea Urais wa CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba , 2015

IMGL0336

wakiteta jambo 

D92A1382

 

1B BPicha ya pamoja mama salma kikwete na mama janet magufuli

1234dl

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM john Pombe Magufuli na  mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan mara baada ya mkutano Mkuu wa CCM kuwachagua kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Urais utakaofanyika Oktoba,2015  

D92A1392

 

1

 

D92A1254

Mhe.John Pombe magufuli mgombea Urais wa CCM akielekea meza Kuu baada ya kutangazwa kushinda  katika kura za ugombea Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba , 2015

CCM 2

 

 

MKUTANO MKUU MAALUM WA UCHAGUZI WA MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM WAFANYIKA USIKU HUU MJINI DODOMA JULAI 11,2015

1

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi CCM katika ukumbi mpya wa Mikutano wa CCM Dodoma julai 11,2015

DSC_0337

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza kufanyika uchaguzi wa mgombea Urais mwaka 2015

DSC_0257

wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam wakifuatilia Hotuba ya mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete

DSC_0123

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na aliyekuwa mmoja wa wagombea urais kwa tiketi ya CCM Waziri Mkuu wa Mstaafu Edward Lowassa, wakati wa mkutano huo. 

DSC_0289

Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu 

DSC_0281

Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu 

DSC_0279

Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Fatma Said Ally akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu 

2Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura yake wakati wa mkutano huo.

2 (2)

 

2 (1)

Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na watoto wa Rais jakaya mrisho kikwete wakati wa mkutano mkuu wa CCM Dodoma