Daily Archives: July 16, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA MJINI GENEVA USWISI AMBAKO ANAENDESHA VIKAO VYA KAMATI YA WATU MASHUHURI DUNIANI KUKABILIANA NA MAJANGA YA KIAFYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa mjini Geneva Uswisi ambako anaendesha vikao vya kamati ya watu Mashuhuri duniani walioteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon kujadili namna bora ya kukabiliana na majanga ya Kiafya ukiwemo ugonjwa wa Ebola uliolipuka Afrika ya Magharibi na kusababisha vifo vya maelfu ya watu​ “Fuatilia video hii”