Monthly Archives: August 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA BARABARA WA TAMISEMI KATIKA HOTEL YA NGURDOTO WILAYANI ARUMERU, MKOANI ARUSHA AGOSTI 24,2015

2n n bnb n

 

1

Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi alipowasili kata ya Ngurdoto Wilayani Arumeru, Mkoani Arusha Agosti 24,2015 wakati alipokwenda kufungua Mkutano wa nne wa mwaka wa wadau wa sekta ya barabara chini ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa unaofanyka katika hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha

1egbRais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano  wa  Mwaka wa Wadau wa Barabara wa TAMISEMI uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto wilayni Arumeru Mkoani Arusha Agosti 24,2015

 

RAIS KIKWETE ATEMBELEA NA KUAGA RASMI TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA AGOSTI 20,2015

1

 

2 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati alipotembelea makao makuu ya Tume hiyo na kuzungumza na viongozi na wafanyakazi na kuwaaga rasmi  Agosti 20,2015 . 

3 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam Agosti 20,2015 

4 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bwana Tom Nyanduga wakati Rais alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam Agosti 20,2015 

5 Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom Nyanduga akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete tuzo maalum kwa kutambua mchango wake katika kuboresha haki za binadamu na Utawala Bora nchini muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuhutubia na kuagana rasmi na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam Agosti 20,2015 Watatu kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serkali Mh.George Masaju

6Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bwana Tom Nyanduga pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro baada ya Rais Kuwahutubi na kuagana na wafnyakazi wa tume hiyo Agosti 20,2015