Daily Archives: August 6, 2015

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA KOMBE LA KAGAME CECAFA TOKA KWA TIMU YA AZAM FC IKULU DAR ES SALAAM AGOSTI 6, 2015 NA KUWAPONGEZA KWA USHINDI HUO

1

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsikiliza Meneja wa Klabu bingwa wa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 

2

Rais Jakaya Mrisho kikwete katika pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 

3

Rais Jakaya Mrisho kikwete katika pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 

5Rais Jakaya Mrisho kikwete akikabidhiwa kombe la ubingwa michuano ya  Kagame ya CECAFA  na nahodha wa  mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 6, 2015 

 

RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO KWA MAKUBWA ALIYOFANYA KATIKA MIAKA 10 AGOSTI 6, 2015

wvxcv Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.

m3

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha  tuzo maalumu aliyoipokea kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.

m5

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.

m7

  wakimsikiliza  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.

m9

  Sehemu ya wastaafu na viongozi wa taasisi wakimsikiliza  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.  m12

MC wa shughuli  katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.

m14

 

m15

 

m16

 Rais Kikwete akisalimiana na watumishi wa Mahakama jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.

m20

  Rais Kikwete katika picha ya pamoja Majaji wa  Mahakama Kuu  ya Rufani jijini  Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi. 

m22

 Rais Kikwete katika picha ya Mwanasheria Mkuu, Mtendaji Mkuu wa Mahahama, Rais wa Tanganyika Law Society jijini  Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.  

m24

 

m25

 

m26

 

m27

 

m29

 Rais Kikwete katika picha ya pamoja  jijini  Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.

 m33

 

m35

 Rais Kikwete katika picha ya pamoja  jijini  Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.