Daily Archives: August 10, 2015

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA DODOMA ADAM KIMBISA AMKARIBISHA RAIS KIKWETE DODOMA AGOSTI 10,2015

1 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo Rais  ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma.Ndugu kimbisa alikanusha uvumi uliosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa ameihama CCM. Kushoto ni Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana   

2 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na katibu mkuu wa CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana  muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo Rais  ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma

3Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo  na katibu mkuu wa CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana  muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo Rais  ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma