Daily Archives: August 16, 2015

WIZARA YA UJENZI YAMUAGA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 15,2015.

3 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli

5 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi.

7  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.

9 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Injinia Stella Manyanya wakati akiwasili kwenye hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi

3Rais Jakaya Kikwete akihutubia wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi wakati wa hafla maalum ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja

13Wahandisi mbalimbali wa Wizara na wasiokuwa wa Wizara walijumuika pamoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete

17wageni waalikwa mbalimbali wakisikiliza hotuba ya Mhe. Rais

6Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa ufunguo wa trekta lake alilopewa zawadi kwenye hafla ya kumuaga.

3dsgsgRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikweteakiwa kwenye picha ya pamoja na wahandisi wanaogombea ubunge kwenye majimbo mbali mbali.

6-1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wanamuziki wa Bendi ya Sikinde ambao walikuwa wakitumbuiza kwenye hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi.

4

 

5

 

2 Picha za pamoja na wafanyakazi wa wizara ya ujenzi pamoja na viongozi wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja

16

 

4Wasanii wa JKT Mgulani wakicheza ngoma ya Msewe wakati wa sherehe za kumuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete zilizoandaliwa na Wizara ya Ujenzi kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.