Daily Archives: August 31, 2015

MHE. DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMRI JESHI MKUU AMEWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA LUGALO DARE S SALAAM AGOSTI 31,2015

3. Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika hafla ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam Agosti 31,2015

4.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ulinzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi muda mfupi baada ya kuwasili eneo la Lugalo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters

  7

 

6.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya kinondoni Paul Makonda muda mfupi baada ya kuwasili eneo la Lugalo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters

8.

 

9

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange picha juu na waziri wa ulinzi Dkt.Huessein Ali Mwinyi wakihutubia kumkaribisha  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika hafla ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam Agosti 31,2015

2.

 

1.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Makamanda wa Jeshi la Ulinzi wakati wa uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi

10

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kitambaa wakati wa uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi  Jenerali Davis Mwamunyange,Watatu Kushoto ni Waziri wa Ulinzi Dkt.Huessein Ali Mwinyi 

11.

 

13

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya mchoro wa majengo la Makao Makuu ya Ulinzi yatakayojengwa eneo la Lugalo jijini Dar es Salaam Wapili kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.