Daily Archives: September 1, 2015

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE NA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA AAGWA RASMI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA SEPTEMBA 01,2015

6

 

4

 

11

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzai  na Usalama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagwa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iiyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Septemba 01,2015  

9

 

8

 

2

 

5

 

11

 

22

 

55

 

44

 

33Vikosi vya jeshi la ulinzi na usalama vikipita kwa ukakamavu mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzai  na Usalama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  wakati wa sherehe ya kumuagwa rasmi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Septemba 01,2015

3

 

14

 

7

 

77

88

Kikosi cha makomandoo wa jeshi la ulinzi kikionyesha uhodari na ujasili wa hali ya juu katika mazoezi ya ukakamavu

 

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA KANALI MSTAAFU MAREHEMU AYUB KIMBAU HUKO MAFIA AGOSTI 31, 2015

2 Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma (aliyeketi na mke wa Marehemu kushoto) wakimfariji mke wa Marehemu Kanali Mstaafu Nyumbani Kwake Mafia wakati wa mazishi ya Mbunge huyo wa zamani wa Mafia  

3

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo na watoto wa marehemu Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau wakiomba dua wakati wa mazishi ya Mbunge huyo wa Zamani wa Mafia yaliyofanyika huko Mafia  

4Baadhi ya wanajeshi wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Kanali Mstaafu Ayub Kimbau aliyewahi kuwa mbunge wa Mafia wakati wa Mazishi yake huko Mafia