Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Sehemu ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili waliohuduria mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Sehemu ya gharika la wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Sehemu ya gharika la wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Sehemu ya gharika la wananchi likimpokea mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni
Rais Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Kada maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro,pichani kati ni mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akishuhuhudia tukio hilo.
Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Rais Kikwete akiongea na gharika ya wananchi wakati akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Rais Kikwete akimnadi mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

Ni shangwe tupu wakati mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiongea gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala